Taarifa zimesema, mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa keshotwa Jumatatu December 21, 2020 katika Kanisa la St Peters DSM, kisha kusafirishwa Jumatatu hiyo hiyo kwenda Mbinga Mkoani Ruvuma kwa ajili ya mazishi hayo.
Kabla ya kifo chake Mzee Urban Costa Ndunguru aliwa amelazwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).
Post a Comment