Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB – Benedicto Baragomwa(kushoto) kutambua mchango wa Benki hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi(PSPTB) linalofanyika jijini Arusha,wa pili kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro – Anna Mghwira.
Post a Comment