Meneja Mwandamizi Idara ya biashara za kadi wa Benki ya NMB - Manfred Kayala akichezesha droo ya pili ya Promosheni ya Mastabata Isiyo Kikawaida iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Kitengo cha uzalishaji Kadi wa Benki ya NMB-Sophia Mwamwitu na kulia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha-Rasuli Masudi
Meneja Mwandamizi Idara ya biashara za Kadi wa Benki ya NMB - Manfred Kayala (katikati) akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya pili ya Promosheni ya Mastabata IsiyoKikawaida iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Kitengo cha uzalishaji Kadi wa Benki ya NMB -Sophia Mwamwitu na kulia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha - Rasuli Masudi.
Post a Comment