RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UAE, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake leo,ambapo Rais alizungumzia zaidi katika sekta ya uwekezaji ukiwemo utalii.
Post a Comment