Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dk. Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kutoa pongezi zake kwa Rais. Kushoto ni Askofu Dickson Kaganga wa Jimbo la Zanzibar
RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA TAG DR. BARNABAS MTOKAMBALI, IKULU MJINI ZANZIBAR, LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dk. Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kutoa pongezi zake kwa Rais. kushoto ni Askofu wa Jimbo la Zanzibar Dikson Kaganga.
Post a Comment