Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Frederic Clavier amemkabidhi Prof. Kabudi barua iliyoandikwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumpongeza kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliopangwa.
Post a Comment