Barabara ya Nyerere ambayo siku za kawaida imeanza kuwa na msongamano wa magari hasa baada ya serikali na baadhi ya taasisi zake kuhamia katika jiji hilo ambalo ni Makao Makuu ya Nchi, linaoonekana lkiwa wazi siku mbili za sikukuu ya Krismasi na Boxing Day kufuatia kupungungua kwa magari na vyombo vingine vya moto uliotokana na wengi wa wakazi wa jiji hili kwenda likizo na wengine kubaki majumbani kwao kusherekea sikukuu. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Hata baadhi ya barabara zingine za mitaa ya jiji hilo zilikuwa wazi kama unavyoziona





Post a Comment