Muakilishi wa taasisi ya HAKI humanitarian aid association shabani mlongkweli akitoa semina juu ufugaji mbuzi ili kujikimu na hali ya kiuchumi kwa wanawake walemavu na wajane Mkoa wa Tabora. Mbuzi hao majike na madume wametolewa na taasisi hiyo lengo ni kuwasaidia ili waweze kuzalisha na kujipatia kipato. PICHA NA ASHRACK MIRAJI



Post a Comment