Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mwita Waitara amewataka Katibu Tawala wa mkoa wa Geita na wa mkoa wa Mwanza waunde Tume ya kuchunguza ubadhirifu wa matumizi ya fedha zaidi ya Sh. Bilioni 1.9 zilizotolewa na Benki ya Afrika kujenga dampo katika mji wa Geita ambalo amesema haikidhi kiwango cha ubora unaotakiwa. Taarifa kamili, Bofya hapo👇
Post a Comment