Featured

    Featured Posts

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, KHAMIS HAMZA CHILO MKOA WA KUSINI PEMBA, ZANZIBAR, LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akikaribishwa dafu mwishoni mwa ziara ya kikazi katika Ofisi ya Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Kusini Pemba, leo
 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akisalimiana na Askari wa Uhamiaji baada ya kuwasili Mkoa wa Kusini Pemba leo kufanya ziara ya kikazi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akizungumza na viongozi wa juu wa Idara ya Uhamiaji mkoa wa Kusini Pemba leo, wakati wa ziara ya kikazi. Watatu kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana