Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa wamesimama baada ya Kupokea taarifa ya Kifo cha Mhe. Martha Jachi Umbulla aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mkoa wa Manyara kama ishara ya heshima huku kila mmoja akimuombea kimya kimya katika Viwanja Vya Bunge jijini Dodoma, Leo Januari 21,2020. (Picha na Eliud Rwechungura)
Post a Comment