Featured

    Featured Posts

KILELE CHA SHEREHE ZA 57 MAPINDUZI ZANZIBAR.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,sherehe zilizofanyika leo

Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba wakipita mbele ya Rais  wa   Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,sherehe zilizofanyika leo  viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo  katika Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo  katika Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Wananchi wafanyabishara wadogo wadogo wakiwa na bango lao kwa kumpomngeza Rais,Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati walipopita katika maandamano ya kusherehekea  kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar.

Askari wa kikosi cha Polisi wakipita kwa mwendo wa Route March  wakipita mbele ya Rais  wa   Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   katika   kusherehekea  kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar.

Askari wa kikosi cha Polisi  wa usalama barabarani wakipita kwa maonesho ya Amsha Amsha  ya Mapinduzi mwendo wa Route March  wakipita mbele ya Rais  wa   Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   katika   kusherehekea  kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar.

 

Maonesho ya Amsha Amsha  ya Mapinduzi mwendo wa Route March Gari za Vikosi vya Uluinzi  wakipita mbele ya Rais  wa   Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   katika   kusherehekea  kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla  mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,sherehe zilizofanyika leo (wengine kutoka kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla (wa pili kushoto) na  Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume (kulia) mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja leo katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati)   mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja leo katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wa Kitaifa  wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wa Taifa wa  Zanzibar,Afrika Mashariki na Wimbo wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wimbo Maalum wa “Sisi Sote Tumegomboka” katika   katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika  leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar .

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakisimama  wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wa Taifa wa  Zanzibar,Afrika Mashariki na Wimbo wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wimbo Maalum wa “Sisi Sote Tumegomboka” katika   katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika  leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar .

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake fupi  katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika  leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar .

 Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake fupi  kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sherehe za kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  zilizofanyika  leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar .

Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake fupi   katika Sherehe za kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  zilizofanyika  leo.[Picha na Ikulu] 12/01/2021. 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana