Mkurugenzi Mtendaji a Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru ameelezea mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge jinsi eneo la wazi la Bustani ya Iseni Park lenye ukubwa wa heka 37 jijini Dodoma itakavyopendezesha Jiji la Dodoma, baada ya kushiriki kupanda miti ya kivuli 3700 Januari 18,2021.
Iseni park itakuwa ni bustani ya wazi kubwa kuliko zote nchini.
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203
Post a Comment