Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu, RC wa Tabora Dr. Philemon Sengati amethibitisha >>“moyo wake ulifeli, alikuwa na Kisukari na Presha, amefia Milambo Hospital Mkoani Tabora”
Post a Comment