Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari, leo, baada ya kutoka katika Hospitali ya Benjamin Mkapa JIjini Dodoma alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni Kiongozi wa Jopo la Madaktari waliokuwa wakimtibu Dk. Anthony Yunda.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akiwashukuru Madaktari na Watanzania kwa maombi yao, baada ya kutoka leo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa JIjini Dodoma alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo Dk. Alphonce Chandika na Kushoto ni Kiongozi wa Jopo la Madaktari waliokuwa wakimtibu Dk. Anthony Yunda.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari, leo, baada ya kutoka katika Hospitali ya Benjamin Mkapa JIjini Dodoma alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni Kiongozi wa Jopo la Madaktari waliokuwa wakimtibu Dk. Anthony Yunda na watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo Dk. Alphonce Chandika
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ya Jijini Dodoma Dk. Alphonce Chandikawa wakati akitoka katika hospitali hiyo, leo.
Post a Comment