Featured

    Featured Posts

DKT BASHIRU AAGIZA MAONESHO YA KIHISTORIA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 44 YA CC M YAENDELEE KWA MWEZI MZIMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru  Ally akishangilia pamoja na viongzi wa chama hicho baada ya kukata utepe kufungua rasmi maonesho ya kihistoria ya maadhimisho ya miaka 44 ya chama hicho Makao Makuu ya CCM Dodoma leo Februari 6, 2021. Dkt Bashiru ameagiza maonesho hayo yaendelee hadi mwisho wa mwezi huu ili viongozi, wanachama wa chama hicho na wananchi kwa ujumla wayatembelee kujua kwa kina historia ya chama hicho.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akizungumza muda mfupi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu kufungua rasmi maonesho hayo.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa sherehe za ufunguzi wa maonesho hayo.

Dkt. Bashiru akipata maelezo kuhusu moja ya magari yaliyotumika wakati wa harakati kudai uhuru wa Tanganyika.

Dkt Bashiru akiangalia maonesho ya nyaraka na picha mbalimbali za kihistoria kwenye Ukumbi wa White House.










 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana