Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ali akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buhambwe (CCM), kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma leo Februari 13,2021. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Dkt Bashiru akitoa salamu za rambirambi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzizi (CCM), Dkt. Bashiru Ali leo ameshiriki kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Dodoma.Ameleezea jinsi alivyofanya naye kazi kwa karibu na kumjua wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Buyungu 2018, pia akiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi. Amewapa pole wabunge, wananchi wa Muhambwe, familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu na kumuombea kwa Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Post a Comment