Wajumbe wa Kamati ya Bunge Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Katika kikao hicho Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge, Ndugu Athuman Hussen aliwasilisha mada kuhusu Historia, Muundo na Majukumu ya Kamati hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge, Ndugu Athuman Hussen akiwasilisha mada kuhusu Historia, Muundo na Majukumu ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mhe. Fatma Toufiq akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Katika kikao hicho Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge, Ndugu Athuman Hussen aliwasilisha mada kuhusu Historia, Muundo na Majukumu ya Kamati hiyo.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment