Uzao wakimtukuza Mungu Baba Halisi wakati Baba wa Uzao akiendesha Ibada hiyo Maalum.
Uzao wakipokea shukrani (Maombi) wakati Baba wa uzao akiendesha Ibada hiyo.
Baadhi ya Makuhani wa Uzao wakiwa kwenye Ibada hiyo.
Uzao wakifuatilia huku wakiwa na 'Notebook' zao za kuandika nukuu, wakati Baba wa Uzao akitoa somo wakati akiendesha Ibada hiyo.
BABA WA UZAO AKITOA SOMO๐
๐
๐
๐
๐
"Wengi tunaosikia wanakufa, wanakufa kwa sababu ya presha inayosababishwa na woga na wasiwasi ulionezwa na wabaya wenye wivu na upendeleo iliopewa Tanzania, ili watu na nchi iangamie kwa uchumi kuporomoka. Wala hao hawafi kwa Korona yenyewe. Rais wetu Dk. John Magufuli anaposema tuondoe woga na tuache kutishana na kusisitiza tumuombe Mungu peke yake mwenye uwezo kwa kila jambo kuhusu hiyo Korona tusimwache peke yake, tumuunge mkono maana yupo katika njia sahihi kwa kuwa anaongozwa na Roho ya Mungu Halisi ambayo imo ndani yake...", akasema Baba Wa Uzao. Unaowaona katikati ni Mama Wa Uzao na Dada wa Uzao, wakiwa kwenye Ibada hiyo.KISHA WANAKWAYA WAKAIMBA WIMBO MAALUM WA KUMTUKUZA MUNGU๐
Wimbo ukinogeshwa na Mwanamuziki nguli wa miaka mingi King Maluu (kulia) akipuliza Saxaphone kwa umahiri mkubwa. Maluu aliwahi kuwa mwanamuziki katika Bendi za Muziki wa duniani miaka ya 70, sasa ameachana nazo na yupo katika Kanisa hilo Halisi la Mungu Baba akipiga nyimboza kumtukuza Mungu Halisi tu.

Kuhani akimkabidhi kreti ya soda mpiga gita la bass, baada ya Baba wa Uzao kuamuru apewe zawadi hiyo kwa kunogewa na namna alivyokuwa akilingurumisha gita hilo wakati wa Ibada hiyo Maalum.๐
>>>>>
Nanasi zilizotolewa na baadi ya Uzao (waumini) katika Kanisa hilo wakati wa Ibada hiyo Maalum. Kwa upendo uliopitiliza Baba wa Uzao aliaamuru nanasi hizo wagawie waandishi wa habari waliohudhuria Ibada hiyo Maalum๐
Kisha Baba wa Uzao akiwa na Mama wa Uzao, akazungumza na Waandishi wa Habari kubadilishana naye mawazo, lakini zaidi kueleza kwa nini Kanisa lake liliamua kufanya Ibada hiyo Maalum๐
>>>>>>
Baadhi ya Uzao (waumini) wa Kanisa hilo wakitoka baada ya kumalizika Ibada hiyo Maalum. Kulia ni Tunu Halisi akitoka na mwenzake.

SIKU YA PILI (JANA JUMAPILI)๐
Kuhani Ushindi Halisi akiongoza Ibada ya Utangulizi kabla ya Ibada yenyewe Maalum iliyoongozwa na Baba wa Uzao. Katika Ibada hiyo Kuhani Ushindi alitumia fursa hiyo kumuinua (kumuombea) Rais Dk. John Magufuli
Uzao wakiandika nukuu wakati wa Ibada hiyo ya Utangulizi.

Wanakwaya wakichangamsha Ibada hiyo kwa nyimbo za kumtukuza Mungu Baba Halisi๐
Uzao (muumini) akipeleka kwenye mduara zaidi ya mkungu wa ndizi huku akisindikizwa na tumbuizo la wimbo wa kwaya katika Ibada hiyo ya utangulizi.
Kisha ikawadia nafasi ya Kuhani Nyota Utajiri Halisi Kutoka Kibaigwa Dodoma Utawala wa Amani, akatema 'madini' kabla ya baba wa Uzao kupanda kwenye Mduara kuendesha Ibada hiyo Maalum kwa siku ya Pili.๐
Baba wa Uzao akitabasamu baada ya kuvutiwa na 'Madini' katika somo alilokuwa akitoa Kuhani Nyota Utajiri Halisi Kutoka Kibaigwa Dodoma Utawala wa Amani, katika ibada hiyo. Wakati huo Baba wa Uzao, Mama wa Uzao, Dada wa Uzao na Kaka Halisi walikuwa wameketi nao wakisiliza.
Uzao (muumini) akipeleka kwenye mduara zaidi ya mkungu wa ndizi huku akisindikizwa na tumbuizo la wimbo wa kwaya katika Ibada hiyo ya utangulizi.
Baba wa Uzao akitabasamu baada ya kuvutiwa na 'Madini' katika somo alilokuwa akitoa Kuhani Nyota Utajiri Halisi Kutoka Kibaigwa Dodoma Utawala wa Amani, katika ibada hiyo. Wakati huo Baba wa Uzao, Mama wa Uzao, Dada wa Uzao na Kaka Halisi walikuwa wameketi nao wakisiliza.
Uzao wakichukua dondoo za somo la Kuhani huyo kutoka Kibaigwa Dodoma.
Kisha Somo la Kuhani huyo kutoka Kibaigwa likahitimishwa kwa wimbo maalum wa kumtukuza Mungu Baba Halisi.

Ndipo Baba wa Uzao akapanda kwenye Mduara (altare)๐
"Heri Heriiii" Baba wa Uzao akaanza kwa kusalimia Uzao, kabla ya kuendelea kutoa somo kama la jana yake, Katika Ibada Maalum ya kufuta hofu na wasiwasi wa Korona katika Taifa la Tanzania. Uzao (waumini) wakiwa wamesheheni kumsikiliza na kwenda naye pamoja katika Ibada hiyo Maalum.
Kuhani Ushindi na Kanisa wake (mkewe) wakiwa kwenye ibada hiyo ya siku ya pili, jana.
Mama wa Uzao na Dada wa Uzao wakiwa kwenye ibada hiyo.
Uzao wakiwa kwenye Ibada hiyo
"Nilikuwa naitwa Rehema Hussein", akajitambulisha Uzao wa Kanisa hilo ambaye awali alikuwa Musilam kabala ya kuhamia Kanisa Halisi. Alijitambulisha baada ya Baba wa Uzao kumuomba ajitambulishe kuthibitisha kuwa Kanisa hilo lina watu wa aina zote kwa kuwa halibagui. Ibada hiyo ilihudhuriwa na kina mama hawa wa Kiislam.
Uzao akikiwa katika Ibada hiyo Maalum huku akiendelea pia na malezi ya mtoto.
Uzao wakishangilia wakati Baba wa Uzao aakiendesha Ibada hiyo.
Katika Ibada hiyo Maalum Baba wa Uzao akazungumzia pia kuhusu Uzao kujisajili kwa ajili ya kwenda Hija ya Chanzo Halisi itakayofanyika kwenye Viwanja vya Community Centre, Mwanga mkoani Kigoma, Machi 26, 2021๐
Baba wa Uzao akihimiza Uzao kujiorodhesha kwa ajili ya kwenda Hija hiyo.

Post a Comment