MAKAMA WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI, LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.
Post a Comment