Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Uhuru Media Group Ltd Ernest Sungura (Kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Channel Ten Jaffar Hanui, wakifuatilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu Jijini Zanzibar, leo Wandishi na Wahariri wakimsikiliza Rais Dk Mwinyi kwenye mkutano huo
Wandishi na Wahariri wakimsikiliza Rais Dk Mwinyi kwenye mkutano huo
MHARIRI Mtendaji wa gazeti la Nipashe Beatrice Bandawe (kushoto) na Mhariri wa Clouds Media Joyce Shebe. wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wahariri na waandishi wa habari katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisikiliza maswali baada ya kungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari katika mkutano wake uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar, leo.Mwandishi wa ITV na Radio One Faroq Karim akiuliza swali
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Deodatus Balile akiuliza swali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari baada ya kuzungumza nao Ikulu jijini Zanzibar, leo (Picha na Ikulu, Zanzibar).
Post a Comment