Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021
Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021
Kamishna wa Maadili Jaji Siiyangilwa Sikalilwa Mwangesi akimlisha
kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba
aliyeapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia
kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji Siiyangilwa Sikalilwa Mwangesi
akimlisha kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Mhe. Zepharine
Nyalugenda Galeba aliyemuapisha kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne
Februari 2, 2021
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimpomngeza baada ya kumuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda
Galeba kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021
Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama
ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo
Jumanne Februari 2, 2021.
PICHA NA IKULU
Post a Comment