Waziri wa Fedha Dk. Philip Mpango leo ameruhusiwa kuondoka katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Kabla ya kuondoka zake kwenda nyumbani akiwa mwenye afya njema Dk. Mpango amezungumza na Waandishi wa habari mambo kadhaa. Msikilize, Bofya Hapo👇
Post a Comment