Wananchi wakishuhudia Bodaboda yenye namba za Usajili MC 918 CNP ikiwa chini ya Gari lenye namba za Usajili T 974 DGV maeneo ya Faya ambapo Abiria aliyekuwa amebebwa na Dereva wa Bodaboda kuzungumza kuwa walikuwa wakitokea mwelekeo wa Magomeni na gari hilo kuwagonga kwa nyuma eneo hilo leo 2, Machi 2012. Majeruhi wote wawili kukumbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabi zaidi (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wananchi wakimuangalia Dereva wa Bodaboda alivyokuwa akihangaika kwa maumivu
Mwananchi msamaria mwema akijaribu kuitoa Bodaboda yenye namba za Usajili MC 918 CNP chini ya Gari lenye namba za Uzajili T 974 DGV na kuiweka pembeni mwa Barabara
Post a Comment