KATIBU MKUU KIONGOZI AENDA KUJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi wa Jamuhri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dk. Bashiru Ally, Ikulu Jijini Zanzibar, Machi 20, 2021, Dk. Bashiru alienda kujitambulisha. Kulia ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Post a Comment