viongozi waliopo meza kuu wakipungia maandamano ya wanawake wa wizara na taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa kwenye Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma leo. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Dk. Fatuma Mganga, Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia alikuwa mgeni rasmi, Mwanahaisi Munkunda na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji,
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Munkunda ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa katika wilaya hiyo, akihutubia wakati wa maadhimisho hayo.0956Watumishi wanawake wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakishangilia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika kimkoa wilayani humo. Picha zote na Richard Mwaikenda
Watumishi wanawake wa wizara ya viwanda na biashara wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo
Watumishi wanawake wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakishangilia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika kimkoa wilayani humo
Watumishi wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wakiwa kwenye maandamano
Tume ya Madini |
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bahi, iliyopo wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, wakijinga mvua kwa kutumia viti walivyokuwa wakivipeleka uwanja wa Singdani wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika kimkoa wilayani humo
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Jeshi la Polisi
Jeshi la Magereza
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma Mji
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Watumishi wanawake wa PSSSF
Watumishi wanawake wa Benki ya NMB Tawi la Bahi wakiwa kwenye mandamano hayo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT), Queen Mlozi akihutubia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika kimkoa wilayani humo
Mtoto mwenye ulemavu Vailet Simango (12) anayesoma anayesoma Shule ya Msingi Lamaiti wilayani Bahi, Dodoma, akifurahi baada ya kukabidhiwa msaada wa baiskeli iliyotolewa na Karakana ya Walemavu Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jana. Maadhimisho yalifanyika kimkoa katika wilaya hiyo
Wanafunzi wa Shule ya Msingi wakiwa katika maadhimisho hayo.
Viongozi mbalimbali wakiungana na wanawake wengine kucheza muziki
Wanafunzi wa shule ya sekondari Bahi wakiwa na furaha wakati wa maadhimisho hayo
Baadhi ya wanawake wa Mji wa Bahi wakiangalia wakati baadhi ya wanawake wakicheza muziki wakati wa maadhimisho hayo.
Post a Comment