Featured

    Featured Posts

MAELFU YA WATU WILAYANI CHATO WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA HAYATI DKT.JOHN POMBE MAGUFULI

 


     

Wananchi wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama ishara ya Heshima ya  kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea Nyumbani kwake Chato leo tarehe 24 Machi 2021.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana