MBUNGE wa Kalenga, Jackson Kiswaga akichangia bungeni Dodoma Aprili 27, 2021, majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kwa kuishauri serikali kulipa kipaumbele suala la elimu ya kutunza mazingira ili kuepukana na mabadiliko ya Tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa hali joto duniani.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video Mbunge Kiswaga pamoja na mambo mengi akitoa ushauri huo....
Post a Comment