Featured

    Featured Posts

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM DODOMA WAKAMILIKA

Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM  wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan yakiwa yamefikia hatua za mwisho kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Mama Samia anachaguliwa kurithi nafasi iliyoachwa wazi kutokana na kifo cha aliyekuwa mwenyekiti Rais Hayati John Magufuli. Mkutano huo unafanyika  kesho Aprili 30, 2021.

Ukumbi wa Jakaya Kikwete unavyoonekana  kwa nje



Watumishi wa CCM, Sophia Chiyumba (kushoto) na Winfrida Makala wakifanya usafi.
Mambo yakiwa tayari ndani ya ukumb






Mabanda nje ya ukumbi yakiwa tayari






Eneo la Makao Makuu ya CCM  Dodoma
 
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana