Mbunge wa Njombe Deo Mwanyika amehoji bungeni kwamba ni lini Ofisi ya Rais, Tamisemi, itakifanyia ujenzi na ukarabati Kituo cha Afya cha siku nyingi cha Mjimwema kilichopo Njombe Mjini?
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akiuliza swali hilo na kujibiwa na Naibu Waziri wa Tamisemi, Festo Ndugange...Mhariri Blog ya Taifa ya CCM0754264203
Post a Comment