Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud na Makamu wa Pili wa Ris wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge kwa mara ya kwanza jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job NdugaiRais Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwenye viwanja vya Bunge alipokwenda kulihutubia Bunge jijini Dodoma
Wabunge na wageni waalikwa wakiwa wamesimama kumuombea dua Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli
Rais Samia Suluhu Hassan akiongozwa na Spika wa Bunge kuingia bungeni Dodoma tayari kulihutubia bunge kwa mara ya kwanza tangu aapishwe kushika wadhifa huo baada ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli kufariki Dunia.
Baadhi ya wakuu wa wilaya wakiwa wamesiamama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa bungeni kabla Rais Samia kuanza kuhutubia
Wageni waalikwa wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Post a Comment