Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza leo bungeni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kulihutubia Bunge Alhamis Aprili 22, 2021.
Amesema kuwa baada ya kulihutubia Bunge, Rais Samia amewaandalia wabunge na wageni wengine futari katika maeneo ya Bunge, jijini Dodoma. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika Ndugai akitoa taarifa hiyo Bungeni Dodoma.....Imeandaliwa na Richard MwaikendaMhariri Blog ya Taifa ya CCM0754264203
Post a Comment