Featured

    Featured Posts

INAVUTIA: KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO NA KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WANAPOKUTANA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo (kushoto) na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakifurahia jambo, walipokuwa katika Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Wazee, uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo (kushoto) na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakijadilia jambo kwa undani, walipokuwa katika Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Wazee, uliofanyika katika ukunbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana