Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya uchinjaji ng’ombe katika Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini Dar es Salaam, leo, Mei 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya uchinjaji mbuzi katika Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini Dar es Salaam, leo, Mei 17, 2021.
Ng’ombe akiingizwa kwenye mtambo maalum wa kuchinjia katika machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es Salaam ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyakagua, leo, Mei 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mburugwa Matamwe (wa pili kulia) ambaye ni Mhandisi na Msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es Salaam,leo, Mei 17, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa mifugo wakati alipokagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es Salaam, leo, Mei 17, 2021. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment