Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Hayati Edward Moringe Sokoine, Napono Sokoine kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay Dar es salaam, Mei 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakizungumza na Mjane wa Hayati Edward Moringe Sokoine, Napono Sokoine (wapili kulia) kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay Dar es salaam, Mei 3, 2021. Wa pili kulia ni Balozi, Joseph Sokoine na wa tatu kulia ni Namerok Sokoine. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment