Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe ameiomba Wizara ya Kilimo kufanya mkakati wa kujenga skimu za umwagiliaji na maghala ya kuhifadhia mazao katika mashamba mbalimbali yaliyopo jimboni mwake ili kuinua kilimo.
Ombi hilo amelitoa alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo katka mkutano wa 12, Kikao cha 35 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, Mei 24,2021.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Condester akilipambania jambo hilo.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
075424203
Post a Comment