Featured

    Featured Posts

MBUNGE SANGA AIBANA SERIKALI BUNGENI NI LINI ITAWALIPA FIDIA WANANCHI WA IDOFI, MAKAMBAKO+video

Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameihoji Serikali bungeni, ni lini Wananchi wa Idofi watalipwa  fidia baada ya maeneo yao kuchuliwa na Serikali kwa ajili ya kujenga Mradi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Huduma (One Stop Centre).

Sanga aliulza swali hilo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kikao cha 29, Mei 17,2021 ambapo alijibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI),  Mwita Waitara.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Sanga akiwapigania wananchi wake kuhusu fidia na kujibiwa na Naibu Waziri, Waitara......


Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana