Featured

    Featured Posts

NAIBU WAZIRI SILINDE AMJIBU MBUNGE MAGESSA UJENZI VITUO VYA AFYA BUSANDA+video

 Mbunge wa Busanda, Bryceson Magessa amewapambania wananchi wa jimbo hilo kwa kuihoji serikali ni lini italipatia jimbo la Busanda vituo vya Afya hususan Kata za Butundu na Busanda? 

 Mbunge Magessa alihoji hivyo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kikao cha 29, Mei 17 2021 wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo alijibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), David Silinde bungeni Dodoma.

 Mdau, Nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Magessa akipambania jambo hilo muhimu kwa afya za wananchi wa jimbo la Busanda pamoja na majibu ya Naibu Waziri Silinde.... 

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana