Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), David Silinde amekubali ombi la Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka kuambatana naye kwenda jimbo la Lupa, Chunya, mkoani Mbeya kutatua kero za barabara zilizoharibika wakati wa mvua.
Ombi hilo limetolewa na Mbunge Kasaka wakati wa kikao cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 12, 2021.
Mdau nakuomba Mendeleev kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kasaka akilipambania jimbo lake na majibu kutoka kwa Naibu Waziri Silinde....
imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment