Mkuu wa Shule ya Awali Feza, wa tatu kutoka kushoto, Arzu yilmaz. wakikata keki kwa pamoja na Wazazi wakati wa kusherehekea siku ya Mama Duniani. Hafla hiyo ambayo imefanyika katika viwanja vya Shule hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es salaam. Picha na Ashrack Miraji.
Wazazi wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kusherehekea siku ya Mama Duniani na wakamuunga mkono Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa watashirikiana naye bega kwa bega hili kuleta maendelea kwa pamoja.
Post a Comment