Video: UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MHAMBWE ULIVYONOGA, JANA
JUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana amenadi mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma, Dk. Florence Samizi wakati akizindua Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo katika jimbo hilo, ambalo limebaki wazi kufuatia aliyekuwa Mbunge wake Atashasta Nditiye kufariki Dunia. Uzinduzi huo hakika ulifunika, Hebu Bofya Hapo uone na kusikia yaliyojiri👇
Post a Comment