Mbunge mpya wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma, Dkt Florence Samizi ameiomba serikali kuifanyia ukarabati miundombinu ya barabara jimboni humo ili kurahisisha mawasiliano na hasa usafiri.
Pamoja na mambo mengine Mbunge Samizi ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video mbunge huyo akipambania maendeleo ya jimbo hilo....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
075424203
Post a Comment