Mbunge wa Jimbo la Kwela, mkoani Rukwa, Deus Sangu amemshukuru Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan kwa kulipatia fedha lukuki kwa ajili ya maendeleo jimboni humo.
Pamoja na mambo mengine, Mbunge Sangu ameyazungumza hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Sangu akitoa mchango huo pamoja na kuwapigania wakulima nchini.....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment