Featured

    Featured Posts

MUFTI MKUU WA TANZANIA APOKEA MSAADA KUTOKA UBALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA

  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abukakari Zuberi akizungumza jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa Tani hamsini za tende zilizotolewa na Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Kaimu Balozi wa Saud Arabia Nchini Tanzania. Abdul azizi Hamad Alasim (kushoto) akiongozana na mgeni wake Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abukakari Zuberi wakiingia ndani kabla makabidhiano ya msaada wa tani hamsini za tende. 
  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abukakari Zuberi akishuhudi utiaji wa saini ya makabidhiano ya msaada wa tende tani hamsini
  Kaimu Balozi wa Saud Arabia Nchini Tanzania. Abdul azizi Hamad Alasim (kulia) akishuhudia mgeni wake ambayeni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abukakari Zuberi alipokuwa akitia saini katika kitabu maalumu mara alipofika katika Ubalozi wa Saudi Arabia 

  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abukakari Zuberi (kushoto) akipokea msaada wa tende kutoka Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania ambapo msaada huo umekabidhiwa na Kaimu Balozi wa Saud Arabia Nchini Tanzania. Abdul azizi Hamad Alasim

  Kaimu Balozi wa Saud Arabia Nchini Tanzania. Abdul azizi Hamad Alasim alimpengeza Mufti na kumtakia Afya njema na kumpongeza pia Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Afya njema ili aendelee kuwaongoza Watanzani.

Kaimu Balozi wa Saud Arabia Nchini Tanzania. Abdul azizi Hamad akumuelekeza jambo Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abukakari Zuberi mara baada ya makabidhiano ya msaada wa tani hamsini za tende kwa ajili ya kuimarisha mahusino kati ya nchi hiyo na Tanzania.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana