Taarifa iliyopo kwenye ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) imesema, Rais Mokgwetsi (pichani), atawasili mda wa saa 4 asubuhi.
RAIS MOKGWEESTSI KEABETSWE WA BOTSWANA KUWASILI NCHINI LEO
Rais wa Jamhuri ya Botwana Mokgweetsi Eric Keabetswe anatarajiwa kuwasili nchini leo Juni 10, 2021, kuanza ziara ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Post a Comment