Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua leo kiwanda cha kuongeza thamani ya madini, eneo la Sabasaba mkoani Mwanza.
Kiwanda hicho kitakachokuwa cha kwanza Afrika Mashariki na Kati kimejengwa na mzawa kwa gharama ya sh. bilioni 12 .7.
Post a Comment