Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA APOKEA MAPENDEKEZO KUHUSU NAMNA YA KUKABILIANA NA COVID-19, IKULU JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 Profesa Said Aboud, akikabidhi kwa Rais, mapendekezo ya Mpango kazi wa kutafuta Rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na janga la ugonjwa wa Korona leo tarehe 04 Juni, 2021 Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma. (Picha na Ikulu)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana