Featured

    Featured Posts

SIKU YA WAJANE DUNIANI YAADHIMISHWA LEO

Dar es Salaam, leo
Leo Juni 23, ni Maadhimisho ya Siku ya Wajane Duniani kaulimbiu ikiwa ni "Mapamvano dhidi ya COVID-19: Wajane washiriki kikamilifu".

Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Dorothy Gwajima anaungana na wananchi kuadhimisha siku hiyo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana