Featured

    Featured Posts

TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UJASIRI, UBORA, UWAJIBIKAJI NA UAMINIFU ALIONAO-BARAZA KUU LA WANAWAKE UWT TAIFA+video


 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM) (Dkt. Gaudentia Kabaka akitangaza Tamko la Baraza Kuu la UWT Taifa la kumpongeza Rais  kwa Ujasiri, Ubora, Uadilifu na Uaminifu alionao wakati wa Mkutano wa Baraza hilo lililofunguliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwenye Ukumbi wa Nec (White House),  jijini Dodoma Juni 26, 2021. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

 

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video usikilize pongezi nyingi zilizomo kwenye tamko hilo....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

 Mhariri blog ya Taifa ya CCM 

075424203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana