Featured

    Featured Posts

WABUNGE WANAWAKE NA WATUMISHI WA BUNGE WAMPONGEZA MWANAMKE WAKWANZA ALIYETEULIWA RAIS SAMIA KUWA KATIBU WA BUNGE


Wajumbe wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG) wakimpatia zawadi  Bi. Nenelwa Mwihambi (wa pili kushoto) ya pongezi kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Wanawake Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimpatia zawadi ya pongezi Bi. Nenelwa Mwihambi (wa tatu kushoto) kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG), Mhe. Shally Raymond (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa tukio la kumpongeza Bi. Nenelwa Mwihambi  kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.Kushoto n Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda.
Baadhi ya wabunge waliohudhuria hafla hiyo wakiwa na furaha wakati wa kumkabidhi zawadi Katibu wa Bunge.


Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson akishangilia wakati wa tukio hilo.





Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akizungumza wakati wa tukio la kumpongeza kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma. 

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA



 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana